WANACHAMA WA GOLD GYM WAKUTANA NA KUPONGEZANA HII LEO SAMBAMBA NA KUIMALISHA UMOJA WAO
Wadau kwa pamoja wakiwa wamechil pande za mchangani ikiwa ni siku maharumu ya kumtunuku heshima ya Ukufunzi wa mazoezi Ndg Sadick Athman(top in top)
Mdau Nuha katika mapana na kushoto ni Ndg Hamis wa Agro forest
Kushoto ni Mdau RMK na Mdau Teacher Baraka
Mdau Nuha aka (sebo)na Ndg Hamis ni shangwe fulani waliyo ifanya jumapili hii kama gate together.
Anaonekana katika pozy Ndg Mafulu
Anaitwa Folo.aka mwili mtamu
Ustaadh Sarafi ni sehemu ya washirika pia.
Kama ilivyo kawaida watu wakikutana kila mtu uwa na staili yake ya kutokea.
Kiasi cha fedha taslimu zikitolewa na Mdau Habbas Hussen kama zawadi kwa Ndg Sadick(kushoto)
Safi sana Kadanke Gilbart.
Shughuli hii ni maharumu kumpongeza Mdau Sadick Athmani pichani kwa jitiada zake za kuwafua watu kimazoezi.