Bukobawadau

ASKOFU MSAIDIZI WA JIMBO LA BUKOBA AZIDI KUALIKA WAUMINI KUJIANDAA KUAMISHA MWILI WA MWADHAMA CALDINAL LAUREAN RUGAMBWA TAREHE 6/10/2012.

Waumini wa Kikatolika wa Jimbo la Bukoba katika mahadhimisho ya Ekalisti takatifu.
Anaonekana Padri  Faustin Kamuhabwa Baba Paroko wa Parokia ya Bukoba.
Wadau mbalimbali washiriki.
Mafulateli wakiwa katika maandamano ya Ekalisti takatifu.
Baba Askofu msaidizi wa Jimbo la Bukoba Method Kilaini akiwa katika adhimisho la Ekalisti ambapo alitumia fulsa hii kuwaalika waumini katika maadhimisho makubwa ya kuamisha MWILI wa Mwadhama   Caldinal Laurean Rugambwa tarehe 6/10/2012, na kutabaruku Kanisa la Cathedral
Next Post Previous Post
Bukobawadau