Bukobawadau

BANK YA WAKULIMA YA USHIRIKA( KFCB LTD) YAZINDUA TAWI JIPYA MTAA WA MIGEYO(TOWN AGENCY)NA HUDUMA YA ATM

Bank ya Wakulima ya Ushirika (KFCB LTD) Farmers Co-operative Bank Ltd ambayo wanachama wakeFarmers wake wanatokana na vyama vya ushirika vilivyomo ndani ya Wilaya za Bukoba,Muleba na Manispaa ya Bukoba  imezindua tawi la Migeyo(town agency na huduma ya ATM.
Sala ya Ufunguzi wa tawi jipya.
Baadhi ya Viongozi wa Bodi ya Bank ya Wakulima ya Ushirika(KFCB LTD)
Mwenyekiti wa KCU( 199O)LTD Ndg John Binushu.

Mr Rweyongeza Bagyemu mwenyekiti wa Bodi ya Bank ya Wakulima ya Ushirika (KFCB LTD)akitoa neno na kumkaribisha mgeni rasmi.

Mgeni rasmi katika uzinduzi huu ni Mrajis wa vyama vya ushirika mkoa wa Kagera.

Bi Alden  Kilaja Kaimu meneja wa Bank ya Wakulima akisoma risala.

Mdau Bi Alben Kilaja akikabidhi risala kwa Mgeni rasmi.

Makamu mwenyekti wa KCU Mr Ngalinda akipokea cheti cha wateja kumi waanzilishi wa Bank.
Wafanyakazi wote wakongwe au waanzilishi wa Bank hii wakipokea Vyeti.
Mzee Bishubo mjumbe wa Bod ya KFCB,akipokea cheti kama mteja mwanzilishi wa Bank ya Wakulima (KFCB) LTD
Anaonekana Mr Makoye wa Bank ya Posta kushoto, katikati ni Mama Muhazi, kwa nyuma anaonekana Mzee Ngaiza Meneja wa KCU (1990 )LTD NA  Ndg John Binushi wajumbe wa Bodi ya KCU.
 Baadhi ya wanachama walio hudhulia uzinduzi huu, kushoto anaonekana Mdau Hussen Kalfan  na kulia ni Mdau Emiry Baruti.
Mwonekano wa Banda la shughuli nzima.
Meneja masoko wa Bank ya Wakulima Mr Kabuga
Mr Kabuka na Bi Alben wakitoa ufafanuzi wa namna ITMN inavyotumika.
Utepe ukikatwa na Mgeni rasmi Mr Rwenkiko Shoros ambaye ni
Mwonekano wa ndani ya jengo la Tawi jipya la Migeyo, anaonekana Mdau Jamal Kakumuna mwenye Camera akiwajibika.
Ufafanuzi zaidi ukiendelea.
Bi Zainab mfanyakazi wa Bank ya Wakulima ya Ushirika (KFCB.)
Mdau Mr Kabuga meneja masoko akitolea  jambo maelezo.
Baadhi ya yafanyakazi wa Bank wakulima ya Ushirika (KFCB LTD)

BAADA YA UZINDUZI HUU SHEREHE ILIENDELEA USIKU KATIKA UKUMBI WA LAKE HOTEL
 Ni fulsa kwa wageni waalikwa kupata msosi.
Mdau na mfanyakazi katika Bank ya WAKULIMA  Bi Sophia Hamad.



INAENDELEA...
Next Post Previous Post
Bukobawadau