BREAKING NEWZZZZ;MOTO WAENDELEA KUTEKETEZA NYUMBA YA MDAU WA USWAHILINI -BILELE
Moto ukianza kuteketeza nyumba ya Mdau MUDA huu ni masaa mawili watu wa zima moto aawajafika eneo la tukio.
Wadau wakitoa ushirikiano kwa kutumia mchanga kuzima moto ambao chanzo chake hakijajulikana.
Jamani jamani jamani KOLEO!!;ni maneyo yaliyomtoka Mdau Salum ( kulia) akijaribu kuimiza watu kuzima moto..!
Kwa wenzangu wenye Blog kama unahitaji picha hizi au zozote kutoka kwetu naomba tuwasiliane nikutumie zisizo na nembo yetu hii ni katika kuthaminiana katika tasnia hii
Ni full taflani kila mmoja akijaribu kile anacho kiweza,ili kubomoa madilisha, hapo jiwe limenikosakosa ata siamini!!!
Nyumba ya Marehemu Mama Abdallah kwa sasa inamilikiwa na Mjukuu wake ajulikanae kwa jina la Omary ikiendelea kuteketea kwa moto na hakuna majeruhi
Kama kawaida tukishalianzisha!!!
Hapa uzalendo ulifikia kikomo!!!
Badae Gari la zimamoto likafika na kuanza kazi yake.
Kilicho okolewa
Mdada Baba Hamis (Yusuph) mmoja wapo wa wapangaji katika nyumba hii akipiga mayowe baada ya kushuhudia mali zake zinateketea na moto.
Mdau akitoa pole kwa Baba Hamis na mwanae.
Kikosi cha zima moto kikiwajibika
Baada ya kazi nzuri ya zima moto
OCD Mzee Wiliam Kalatu katika sehemu ya tukio, hakika Jeshi la polisi niseme limetoa ushirikiano kwa kiasi kikubwa ukizingatia janga hili lipo mitaa ya Uswaz kunako watata,alikupo OCID Devid Mutakya na OCS Manungu.