Bukobawadau

CAMERA YETU PANDE ZA HIYANGILO -RUBYA NA MAENEO YA IBARE

Kanisa la kwanza la kikatoliki Parokia ya  Rubya 1958 namaanisha kwa ukanda huu wa Hiyangilo na kwa sasa linahitaji ukarabati .
Mwonekano wa bonde la mto Ngono kati ya Hiyangilo na Muleba.
 Moja wapo ya Shule ya Msingi ya serikali  ya Ibare -Rubya wadau wengi mmepitia hapa.
 Mwonekano wa mazingora ya Shule yenyewe
Hii ni kupitia Bukobawadau Blogspot tukiangaza pande hizi za Kashasha
 Ni katika pitapita zetu pande za Kashasha Rubya.
 Maelezo ya bango yanahusika!!
Jengo la  kituocha POLISI (Kashasha)-RUBYA
Next Post Previous Post
Bukobawadau