HABARI MATUKIO KATIKA MKUTANO WA HADHALA WA MH.WAZIRI BALOZI KAGASHEKI HII LEO
Mh. Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Hamis Sued Kagasheki maarufu kwa jina la (swahiba)akiwasili katika viwanja vya Uhuru alipokua na Mkutano wa hadhala hii leo.
Hivi ndivyo wadau walivyo mlaki Mh. Waziri Kagasheki katika Viwanja vya Uhuru jioni ya leo.
Mh. Waziri Kagasheki akisaini kitabi cha Wageni.
.....ITAENDELEA KIUNDANI NA TUNAKUANDALIA HOTUBA NZIMA YA MH.WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII NA MH. MEYA WA MANISPAA YA BUKOBA.