HABARI MATUKIO KATIKA SEND OFF PARTY YA MDAU AZIZA ABDULMALIK ILIYOFANYIKA USIKU WA JANA KATIKA UKUMBI WA BUKOBA CLUB
Tukio linalokaribia ni Ukatiji wa Keki.
Waaahh!!Mpambe wa Bi harusi Bi Najiath akitoa suport kwa Bi Aziza.
Bi Aziza anageuka kulia kwake kuona ni wapi pa kuanzia ,mara macho yanagongana na meza ya mhusika...!!!
Meza ya mhusika nao jicho kwa jicho na Bi harusi.
Bi harusi Aziza katika bumpha 2 bumpha na mpambe wake Dogo Janja aka Mdau Mkusini.
Hivi ndivyo wadau wa shughuli hii,waandaji mwanzo mwisho na ndio wapamba kwa sasa aka wanakamati walivyotokelezea!!!
Ni Vijana waliojipanga vizuri wamemudu kufanya shughuli ya Kijana mwenzao kwa hali na matendo.
Tuseme safi ata kimoyomoyo!!!vijana watanashati glovu mikononi wakiashilia jina lao la kamati ya wasafi.
Kwa kihaya ni kama anasema(Omwana ashwelwe!!)
Anaonekana Bwana harusi kulia akifuatilia kinacho!!
Meza ya Wazazi wa Bi Aziza
Ashmar Khalfar Ashmar katibu wa kamati ya wasafi akiweka usawa fulani.
Mdau Dulla mwenyekiti wa kamati ya maandalizi.
Kile walichokitoa wanakamati kama zawadi .
Wanakamati wakikabidhi zawadi yao.
Aliyevaa vazi la ki Obasanjo ni Mzee Abudmalik Baba Mzazi wa Bi harusi
Bi Afisath Kazinja Mama mzazi wa Bi Aziza akitoa nasaha zake kabla ya kutoa zawadi.
Mdau msomaji kutokana na wingi wa matukio na kasi tuliyonayo katika tasnia hii ya kukuhabarisha tunaomba upitie neno (older post)kila mwisho wa page ili upate matukio ya muda mchache uliopita.
Hongera yako Aziza hongera kwako mama shughuli umeifanya!!!!
Wadau pichani hakika wamefurahi.
Sehemu ya wadau waalikwa anaonekana Bi Fatuma na Bi Mai
Hapa kuna tukio la wazazi wa Upande wa pili litakuijia hivi punde.Ni wenyeji wa Mji kasoro bahari(Morogoro)
Wadau kwa pamoja wakishiriki kupata msosi.
Hii ni kwa mkutasari tu tukio kamili linafuata.
Acha show ikamliwe....!!

Menu Time
Maharusi wetu wakipata huduma ya Menu.Hapa kuna tukio la wazazi wa Upande wa pili litakuijia hivi punde.Ni wenyeji wa Mji kasoro bahari(Morogoro)
Wadau kwa pamoja wakishiriki kupata msosi.
Hii ni kwa mkutasari tu tukio kamili linafuata.
Acha show ikamliwe....!!
MUHIMU;TUNAOMBA KUTUSHIRIKISHA KATIKA TUKIO LOLOTE , SEHEMU YOYOTE NA KUTUTUMIA HABARI,VISA VYA KIMAISHA, CHANGAMOTO ZA KIMAENDELEO PIA WAWEZA KUTANGAZA NASI BIASHARA YAKO, MPAKA HIVI SASA ZAIDI YA WATU 3000 UTEMBELEA TOVUTI YETU KILA SIKU!!!!
KUPATA MATUKIO ZAIDI GONGA NENO OLDER POST HAPA CHINI KULIA KWAKO.