Bukobawadau

HAPA NA PALE NA CAMERA YETU-NI UJIO WA MDAU HABIBA MKELO TOKA HOUSTON,TEXAS.I

Mdau Bi Habiba Mkelo akiwasili Mjini hapa kuwasalimia Wazee wake na kuonana na Ndugu na Jamaa
Mzee Galiatano Baba Mzazi wa Habiba katika utayari wa kumpokea mwanae
 Katika safari hii aliambatana na dada yake (katikati)ni Mdau Jalia Mayanja ikiwa wote hawa ni Ndugu.
Ikiwa bado ni Uwanja wa  Ndege pichani kushoto ni Mama Toto's.,Mzee Galiatano na Bi Habiba.
Mdau Revocatus Biro katika toli na Bi Jeanifer Mulungi Kichwabuta

NYUMBANI KWA MZEE GALIATANO MTAA WA TUPENDANE  NDUGU NA JAMAA WAKISHIRIKI CHAKULA CHA MCHANA NA BI HABIBA MKELO!
Sehemu ya Ndugu na Jamaa wakishiriki Msosi.
Bi Habiba Mkelo akicheck na Camera yetu wakati akiendelea kupata msosi.
Sehemu ya Wadau Kulia ni Ndg Badru Kichwabuta.
 Abdulhatif, Kambuga, Mdau Bashir na Ndg Jumanne Bingwa.
Kulia anaonekana Bi Sauda  Khalid  na Wifi yake Bi Habiba.
 Anaonekana Uncle Nurag  akiwa tayari!!!
 Katikati ni  Mdau Uncle Khalid.
Haji Abbakari Rajabu Galiatano miongoni mwa wazee wachache tulio nao mjini hapa anaonekana mwenye furaha bila shaka kuna kitu ama ni kupenda tu flash ya Camera yetu!!!!
Huduma ya Chakula ikiendelea..
 Katika hili na lile anaonekana Mama Barongo, kupitia ukurasa huu mudau kama umebahatika kuifahamu familia hii au wadau hawa basi  utakumbaliana na mie kuwa hivi ndivyo mchakato wa kinasaba unavyokua!!!
Kutoka kushoto ni Bi Aula, Bi Jamila, Mama Hawa na Bi Khadja.
 Kulia ni Mdau Mwalimu Hadia katika picha ya pamoja na nduguze.

LEO TENA MAJIRA YA SAA 9 IKIWA NI SIKU YA PILI  BI HABIBA AMEREJEA NCHINI  MAREKANI .
Mdau Passycazia Barongo akiagana  na ndugu zake hapa anarejea nchini Sweden yalipo masikani yake.
Bega kwa bega na Mama Hassani  Bi Eunice.
Bi Habiba akiwa tayari kwa Safari Ndege Moja na Passygazia!!

KILA LAHERI WADAU!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau