Bukobawadau

HAPA NA PALENA CAMERA YETU.

Pande za Uwanja wa Ndege Mjini hapa nakutana na Mdau "Gwaru "Mshkaji tupo nae na ni homeboy,na ni miongoni mwa wanamuziki wa Hip hop  nguli hapa  nchini,kwa wale wafuatiliaji jina Gwaru wa kikosi cha mizinga bila shaka sio geni!!
Alifika kumpokea Mke wake(mwenye mtoto) na hapa wanaongozana  nje ya lango la Uwanja wa Ndege.
Wadau Mr& Mrs John Katalahya.
Nakutana na Mdau Agaba Mushumbusi.
Kushoto ni Mdau Banyenza ,katika hili na lile na mwenzake Agaba.
MMMH!! Juu ya kiti hatusemi,ila mshkaji mwenyewe katokelezea si polepole,madini, Cassio,Glass,BIG UP kwake Al Amin Abdul Amin Mnyemnye na kama kawaida Mjini hapa bila BBM usomeki!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau