HARUSI YA INNOCENT M.AMANI NA JOSEPHINE J. MOSHY
Ni harusi ya Mdau Innocent. M. Amani wa Bukobamjini na Bi Josephine J.Moshy wa Moshi iliyofanyika usiku jana 1.6.2012 kwenye ukumbiwa Bukoba Club.
Watoto wapambe wa maharusi hawa wakiingia ukumbini kwa staili ya kipekee.
Kijana akiingia ukumbini pekeyake kwa swaggar babukubwa huku hewani akisindikizwa nyimbo ya Azonto ft Tiffany ijulikano kwa jina la Fever.
Mie kama mdau wa Music napenda kumshkuru na kumpongeza yeyote aliyependekeza nyimbo hii kwani ni nzuri sana na wameitendea haki.
Mshereheshaji wa shughulihii Mpoki wa Orijino Komediakitiririka awezavyokatika kuwapanga maharusi na zoezi zima la kukata keki
Vicheko vilitawala ile mbaya....kutokana na maneno ya Mpoki
Ni miongoni mwa keki babu kubwa nilizipata kushuhudia
Bwana harusi Mdau Innocent.M. Amani akishirikiana na Bibi Harusi Bi Josephine J.Moshy katika zoezizima la kukata keki.
Mwonekano wa Keki.
Mdau Mjuni Silvesta aka Rick Ross aka mwarabu wa Dubai maharufu kwa jina la Mpoki au bebari la kihaya akiwajibika ipasavyo.
Baada ya kukata Keki kitendo kinacho fuata ni.......,na kama uonavyo Bwana harusi hanambavu kwa maneno ya MSHEREHESHAJI.
Picha niliyotokea kuipenda mie mwenyewe Blogger....!!!!
Bi harusi Josephine. J. Moshyakichagua kipande sahihi kinachofaa kumlisha Mmewe.
Hapo vipi mdau?!!
Bi Rukia na Bi Prisca ndio wanaingia Ukumbini.
Wakali wazoefu wa kufungua Champagnewakipelekeshana
Milipukoya Champagne ilisikika mingi sana!!!!!
Maharusi wakigonga Cheers.
Vile nafsi zao zinasema Nakupenda....
Wazazi wa Bibi harusi wakiwa wamesimamakupokea Kekikutoka kwa Mwanao.
Wazazi wa Bwana Harusi Mdau Innocent Amani.
Hivi ndivyo ilivyopokelewa Keki na Wazazi wa pande zote mbili.
Kutoka Kutosho Mama Muga au Mama Nyerere naMdogokulia ni Rehema Idrisa.
Shughuli ilikua shughuli najitaidi tunajitaidi kukufikishia kila tukio ila changamoto ipo
Maharusi wakiwa wamekaa wakifurahia show ya wapambe waliowazunguka.
Kundi la burudani ya Ngoma katika moja na 2.
Kundi zima la Kakau Band likitoa burudani ipasavyo
Wageni waalikwa wakifatilia kinacho endelea.
Anaonekana Mama Mick akisema Naam..!!!!
Wadau waalikwa anaonekana Bi Nura sambamba kabisa na Mama Nice,na ninachoweza kukueleza Mdau msomaji watu ni walikuwa wengi sana kutoka Mikoaya jirani na wilayani.
Kutokakatika familia ya Mzee Kibengwe nawaona wanae..
Kwa raha zote anaonekana akifurahi Mdau pichani.
Kamati ya msosimuda huoikijipanga.
Wadau wakiendelea na shangwe...!!
INAENDELEA...