IZIGO FC. YATWAA KOMBE LA MTOTO WA KIAFRIKA KWA KUIFUNGA BUKOBA VETERAN 2-1
Kikosi kamili cha timu ya IZIGO FC. 1. Eladius Emmanuel 2.Jamal Mahamudu 3. Justus Adidas 4.Elick Gosbart 5.Gidius Mtashobya 6.Ramadhani Ramadhani 7.Jefta Kashubu. 8.Shadad Bayona9.Ernest Mwijage 10. Alstadius Sotel 11. Richard Askari
Kikosi cha Bukoba Veteran. 1. Avitus 2, Rwiza 3.Kingereza 4. Kipara 5. Paulin Rajabu. 6. Hassan 7. Thomas Chalse Masamaki 8. Said Bunduki 9. Shija 10. Lisa 11. Abdul.
Timu zikisalimiana na mgeni wa heshima Bi Angela Mtashobya mlatibu wa mradi IZIGO IDP.
Wadau wakifuatilia Soka pichani anaonekana Mdau Patrick, Dogo Ditto na G smart.
Benchi la timu ya Bukoba Veteran
Mashabiki waliohudhulia mchuano hii ambayo mwanzo ilianza na mechi za wanafunzi.
Kutokana na wingi wa watu wanafunzi hawa walijiongeza juu ya mti.
Kisa cha mtoto huyu katika pitapita nilisikia Wananchi wakiambizana kwamba anasoma darasa la saba,!!katika Exclusive na Bukobawadau akasema kuwa yupo darasa la awali.
Katikati ya uwanja mchezo unaendelea.
Vile hali si hali kwa mchezaji Thomas Chalse.
Kipa wa IZIGO FC. kwa umakini langoni mwake.
Mpaka mapumziko IZIGO FC wanaongoza 1-0 bao lililofungwa na Ernest Kaijage.
Mashabiki wa IZIGO FC.

KUPATA MATUKIO NA HABARI ZA MUDA MCHACHE ULIOPITA TUNAKUKUMBUSHA NDG MSOMAJI KUGONGA NENO( OLDER POST) KWA CHINI UPANDE WA KULIA!!!!
MUHIMU;TUNAOMBA KUTUSHIRIKISHA KATIKA TUKIO LOLOTE , SEHEMU YOYOTE NA KUTUTUMIA HABARI,VISA VYA KIMAISHA, CHANGAMOTO ZA KIMAENDELEO PIA WAWEZA KUTANGAZA NASI BIASHARA YAKO, MPAKA HIVI SASA ZAIDI YA WATU 3000 UTEMBELEA TOVUTI YETU KILA SIKU!!!!