Bukobawadau

JAHAZI MODERN TAARAB WAPAGAWISHA CLUB LINAS;Wagombanao ndio Wapatanao yazua Vijambo Ukumbini

Mzee Yusuph akitumbuiza wakazi wa mji wa Bukoba na akiwa katika Mood nzuri  tofauti na siku nyingine.
Wagombanao ndio wapatanao JE UNASWALI JUU YA HILI MDAU?
 Mmmxxxiiii!!!!!!!!!
 Mashabiki wa Mzee Yusuph wakifurahia makamuzi.
 Jamaa yupo vizuri sana katika kulichalaza...
 Tulizoea House Music  kwetu Spain...!!Kumbe mpango mzima taarab!!!
Maua Ramadhani na Mama Mussa ni kati ya wadau wanaohusudu kwa hamumiondoko hii ya pwana.
Anaonekana Mzee Longino Mtarubuka na mkewe  Bi Martha Mtarubuka wenyeji pande za Kagera Sugar
 Mama CEO  natambua uwepo wake Mjengoni!!
Kizazi hiki cha dot com!!!
Wakazi wa Bukoba wazidi kuwachengua Jahazi!!!
 Kulia ni Mama Abdumalick Tungaraza.
Mr&Mrs Matovelo.
Ni patashika na kandambili kukatika!!!
 Mdau unaombwa kushare habari zetu kwa rafiki yako popote pale ili kupanua wigo zaidi, bado tunahitaji maoni mengi kutoka kwenu wapenzi wa libeneke hili, waweza kupata habari zetu kwa kutweet @bukobawadau,au @Dj Cool Mc, waweza kutupata kupitia facebook page yetu tafuta bukobawadau blogspot au waweza kutupia like hapa hapa kwenye blog upande wa kushoto sehemu ya facebook yote juu ya yote kupitia matukio ya nyuma ni muhimu iwapo una muda kidogo ujaperuzi!!!
 Wadau katika kufuatilia libeneke la Jahazi ndani ya Club Linas Kisima cha burudani.
 Wadau wa Majengo kama kawaida anaonekana Mtoto wa Mama Hidaya, Bi Hidaya huyu ni mdau wa kitambo  mitaa hii ya kwa Mama Lela, Mama Chuni, mitaa ya Coronna, au mtaa wa pelela wenyeji upenda kupaita Kivulini na kwa sasa panabebwa na Mnara wa kampuni flani ya simu.
 Wadau pichani wamehusika sana kututia moyo sie Bukobawadau Blog katika kuendeleza libeneke hili.
 Mr&mrs Hamza Itembwe  wakisikilizia.
Mdau Mzee Tiba tuponae.
 Mdau Mudy kushoto, Mzee Mussa  na Ndg Rugeiyamu afisa utamaduni Manispaa Bukoba.
Mambo ya nitoke vipi,Mdau Jerry akiwa ameva kimwambao
Hii nimeipenda!!!!!
 Mke wa Mfalme Mzee Yusuph
Chezea Bukoba wewee!!!unaambiwa mwanamke nyonga kwani  MAKALIO ata midume inayo!!!

BUKOBAWADAU BLOG TUNAWATAKIA WADAU WOTE WEEKND NJEMA!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau