KIKAO CHA KAMATI YA USHAURI YA MKOA (RCC) MKOANI KAGERA.
- Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh. Fabian Massawe akiwahutubia wanakamati wa kikao cha maendeleo mkoani kageraa.Mh. Massawe amesema wananchi wanakiu ya maendeleo sio siasa.
- Kusifia Manispaa ya Bukoba kuwa ya tatu kitaifa kwa usafi na kakubali Ombi la manispaa ya Bukoba kuwa siku ya usafi ijulikane kama Massawe Day.
- Katoa wimbo kwa kaya zote mkoani kagera kuendeleza kilimo cha umwagiliaji.
- Kila mkuu wa Wilaya inabidi awe awe na shamba la mfano ili wananchi anao waongoza waige mfano.
- Serikali imedhamilia kutoa mikopo mingi kwa wakulima ili kuendeleza kilimo kwanza hasa kwa kuwatumia vijana.
Wajumbe wakisikiliza kwa umakini.
Mh. Meya Anathory Aman
INAENDELEA HIVI PUNDE....