LVRLAC-TANZANIA CHAPTEL KIKAO CHA KANDA YA TANZANIA 31-5 2012 KOLPING HOTEL BUKOBA
LVRLAC:Ni ushirikiano wa halmashauri zilizo katika ukanda wa ziwa Victoria,LVRLAC ina halmashauri wanachama 130(Tanzania, Kenya na U ganda)na makao yake makuu yapo Entebe Uganda.
Mwenyekiti wa Kikao hiki Mh. Meya Anathory Aman akitoa utangulizi kuhusiana na lengo kuu la LVRLAC ikiwa ni kukuza na kusimamia maendeleo endelevu ya ukanda wa ziwa.LVRLAC imekua ikizileta pamoja halmashauri wadau mbalimbali katika kutumia rasilimali za ziwa victoria katika njia endelevu, kuchangia katika kupunguza umasikini na kutunza rasilimali za ziwa victoria.
Mwakilishi ofisi ya Mkuu wa Mkoa akitoa mchango wako.
Wanahabari wakiwajibika
Mwandisi wa Manispaa Ndg Kambuga.
Inendelea kwa maelezo ya kina.....