MAZISHI YA MAREHEMU GERVASE KABAIZI HII LEO NYUMBANI KWAKE KISINDI KATA YA KASHAI 11/6/2012
Misa ya mazishi ya Marehemu Gervace Kabaizi imeongozwa na Baba Paroko wa palokia ya Bukoba
Mke wa marehemu Bi Anastazi akiweka udongo kwenye kaburi la mme wake.
Mzee Kalisa mdogo wa marehemu akishiriki kuweka udongo.
Mtoto wa Marehemu Gervase Ndg Kabubi katika hatua ya mazishi.
Mdau Frolence (folo) mtoto wa mwisho wa Marehemu akishiriki kuweka Udongo.
Mdogo wa marehemu na kwa nyuma anaonekana rafiki mkubwa wa marehemu Mzee Venelanda mwenye miwani wakishiriki kikamilifu katika mazishi.
Bibi Namwandu mlezi wa Marehemu Gervase Kabaizi
Wanakwaya waliojitolea kushiriki Mazishi ya Marehemu Gervase Kabaizi kwa kutambua mchango wake kijamii ikiwa Marehemu alijitolea kujenga bure kama mjenzi msingi wa Kanisa la Kigangocha Kashai.
Wanaonekana Wadau wanachama wa familia ya Marehemu.
Wapili kulia ni Mzee Phaustin Kalugendo mmoja ya watu walionifaika kupitia mikononi mwa Marehemu
Hivi ndivyo ilivyokua Safari ya Mwisho ya Maisha ya Marehemu Gervase Kabaizi.

BUKOBAWADAU BLOG TUNATOA POLE KWA WAFIWA NA MWENYEZI MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI AMEN!!!!