Bukobawadau

MCHEZO WA BUKOBA VETERAN V/S MWANZA VETERAN NI KESHO JUMAMOSI UWANJA WA KAITABA:mdau njoo uwaone Fumo Felician mchezaji wa Yanga na timu ya Taifa, Juma Amiri Simba na timu ya taifa, Khalfan Ngasa Simba na timu ya taifa, Mbuyi Yondani Simba na timu ya taifa, Kipese na Sekilojo Chambua wakitoshana Ngumu na Wazee wa Bukoba atakuwepo Hussen Kaitaba mchezaji Balimi, Majimaji na timu ya Taifa, Washokera mchezaji RTC Kagera, Rajabu Paulini alicheza Simba na RTC Kagera, Said Mushamu Lipuli na RTC, Edwin Kilianga Mchezaji Balimi na Rwelu Eagles,Elasmus Mataifa mchezaji Balimi na Coast Union, Godwin Kichemu RTC Kagera na West Ham,Salum Mawingu mchezaji Balimi,Richard Kajumlo mchezaji Kajumulo World soccer na Halmashauri Muleba.Mdau hii si yakokosa wahi nafasi mapema Uwanjani Kaitaba kuanzia saa 9 na yote juu ya yote kuna Mchezo wa Netball pia kati ya Mwanza na Bukoba.

Next Post Previous Post
Bukobawadau