Bukobawadau

MOTO WAUNGUZA BWENI SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA RUGAMBWA;hakuna aliyekufa wala kujreruhiwa,ingawa magodoro na mali kadhaa za wanafunzi zimeteketea kwa moto!!!!

Wanafunzi wa shule ya Wasichana  Rugambwa wakiangalia dirishani madhala yaliotokana na moto hii leo majira ya saa tatu asubuhi.
Maofisa  mbalimbali wa usalama wakiwa katika tukio.
 Bweni lilivyoteketea kwa Moto japo hakuna aliyekufa wala kujreruhiwa,ingawa magodoro na mali kadhaa za wanafunzi zimeteketea kwa moto.
 Mpaka sasa Chanzo hakijafahamika ingawa inasemekana wanafunzi wanachubua nyaya za umeme ili kufanya utundu wa kuchaji simu zao.
 Gari la zimamoto likiwa tayari kuanza kazi
Baadhi ya mali za wanafunzi
Rugambwa ni full taflani na tukio hili limetokea mara ya nne katika kipindi cha muda mchache.
NIKUOMBE MDAU MSOMAJI WA MTANDAO HUU KUTOA USHAURI WAKO NA MAONI YA MOJA KWA MOJA KUPITIA SEHEMU YA COMMENT HAPO JUU NA NIKUOMBE KUPITIA HABARI ZILIZOPITA KWA KUGONGA NENO OLDER POST PEMBENI KULIA MWISHO WA UKURASA HUU.!!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau