SAFARI YA KUUPELEKA MWILI WA MAREHEMU BI WINIFRIDA KENGALO KACHUNKWA KIJIJINI KWAO KAMACHUMU.
Camera yetu iliangaza pande za Uwanja wa Ndege kuona kama wanafamilia wameweza kufikika kushiriki katika Mazishi.
Mmoja wa wanafamilia ya Mzee Mchuraza na mjukuu wa Bi Winfrida
Bukobawadau katika hili unaweza kutushirikisha ata wewe Mdau Msomaji kwa kutupa tarifa kupitia simu zetu zilizopo kwenye matangazo yetu hii yote ni kuakikisha tunamgusa kila mdau kwa nyakati tofauti.
Kwa pamoja wakapanda jwenye gari lililokuja kuwapokea tayari kwa kushiriki na familia katika safari ya kuelekea Kijijini Kamachumu.
Mr.Yusto Yuchuruza (Mkurugenzi wa KADETFU)akiteta jambo na mwanae kabla ya kuanza safari kuelekea kijijini kamachumu
Mr.Yusto Yuchuruza (Mkurugenzi wa KADETFU)akiwa na mkewe Mrs.Muchuruza wakijadiliana jambo kabla ya kuanza safari.
Maeneo ya Kyetema....!!!!!!
Mmoja wa wanafamilia ya Mzee Mchuraza na mjukuu wa Bi Winfrida
Bukobawadau katika hili unaweza kutushirikisha ata wewe Mdau Msomaji kwa kutupa tarifa kupitia simu zetu zilizopo kwenye matangazo yetu hii yote ni kuakikisha tunamgusa kila mdau kwa nyakati tofauti.
Kwa pamoja wakapanda jwenye gari lililokuja kuwapokea tayari kwa kushiriki na familia katika safari ya kuelekea Kijijini Kamachumu.
Gari lililobeba mwili wa marehemu tayari kwa safari kuelekea kijijini kamachumu Kizigo
Mwanzo wa Safari ya Kuelekea KijijiniMr.Yusto Yuchuruza (Mkurugenzi wa KADETFU)akiteta jambo na mwanae kabla ya kuanza safari kuelekea kijijini kamachumu
Mr.Yusto Yuchuruza (Mkurugenzi wa KADETFU)akiwa na mkewe Mrs.Muchuruza wakijadiliana jambo kabla ya kuanza safari.
Ofisi Ya KADETFU iliyopo mjini Bukoba katika jengo la Ujirani mwema.
Moja moja kuitafuta Kamachumu Maeneo ya Kyetema....!!!!!!
BUKOBAWADAU BLOG TUNATOA POLE KWA NDG NA JAMAA WOTE WALIOFIKWA NA MSIBA HUU!!!!!