Bukobawadau

SAFARI YA MWISHO YA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU BI WINIFRIDA KENGALO KACHUNKWA KIJIJINI KWAO KAMACHUMU.

 Wafanyakazi wa KADETFU wakipata chakula kabla ya shughuli ya mazishi kuanza
Foleni ya wadau kupata huduma ya chakula kabla ya mazishi
Ni habari matukio ya wadau katika kuuaga mwili wa Marehemu Bi Winifrida.
Mwonekano wa KITU menu.
Wadau na viongozi wa dini.
 foleni wa kwenda kupata chakula unaendelea...
 BI sakina Shamji nae alikuepo
Hii safi.
 Juliana Optati pembeni akiwa na Hakimu Hamadi wakijadili jambo.
 Mzee in "ACTION"
Mazingira ya uhalisia wa Mazingira msibani hapo.


 Bibi in "ACTION"
 Chakula kilikuwepo cha kutosha kama anavyoonekana mzee huyu ambaye hatukuweza kupata jina lake mara moja akipata pilau .
 Umati wa watu ulijitokeza kuhudhuria shughuli hii ya mazishi ya BI WINIFRIDA KENGALO KACHUNKWA
 Umati wa watu
Wanafalia katika hali ya simanzi
 Wajukuu wa marehemu wakibeba jeneza kwa ajili ya shughuli ya mazishi


 Kaburi utakapo atakapolazwa mwili wa marehemu
Kila aliyemfahamu Marehemu yupo katika simanzi kubwa
Mamia ya  Wadau waliojitokeza kuuaga mwili wa marehemu
Jeneza likishushwa ndani ya kaburi na wajukuu wa marehemu
 Mtoto wa marehemu na mkurugenzi wa KADETFU Bw.Yusto P.Michuruza aliyeshikilia biblia  akisikiliza neno la mchungaji kabla ya kuihifadhi mwili wa marehemu
ITAENDELEA.......................................!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau