TIMU ZA MWANZA ZAIBUKA KIDEDEA DHIDI YA BUKOBA MBELE YA MKUU WA MKOA MH. MASSAWE-Mwanza Veteran yaichapa Bukoba Veteran 1-0 na kwa UPANDE wa Netball Mwanza mwanzo mwisho Washinda 11-10!!!!
Wachezaji wa timu ya Mwanza Veteran.
Bukoba Veteran anaonekana Washokela kulia mchezaji zamani RTC Kagera.
Picha ya pamoja wachezaji wa Mwanza Veteran na Bukoba Veteran,katikati anaonekana Fumo Felician
Mgeni rasmi Mh. Mkuu wa Mkoa akisalimiana na kaka mkuu mchezaji wa Bukoba Veteran
Kushoto ni Hussein Said na Sadi Iddy .
Wachezeji wakiwa wanasikiliza nasaha za Mgeni rasmi Mh. Fabian Massawe
Mwanza mwanza hiyo!!!
Wadau na Viongozi waandamizi wa timu ya Mwanza Veteran anaonekana Sande Majwala,Alex Elija, Ibrahim Magongo Bwile Mgeta na wa mwisho ni Omary Hussein.
Mlinda mlango wa Mwanza Veteran
Matias, Washokela Thomas, Sady na Hussein Kaitaba.
Mtangazaji Baba Anasi.
Mpaka kipindi chapili hakuna timu iliyoweza kuliona lango la mwenzie, pichani wanaonekana wachezaji wa Bukoba Vetera Hassan mwana Buye na Mwinyi.
Kimjini mjini kutokelezea kwa wadau ni jadi!!!
Wadau wa soka wakifuatilia namna Soka linavyo tatazwa.
Ni Mdau Kapara Salum Organizer Mawingu ,Omg , Mdau Yakubu, Rama Shabiry na Majid Kichwabuta.
Mtanange wa Netball ukiendelea...!!!
Mechi ikitangazwa Live na Mtangazaji wa Kasibante Fm Radio Abdulrazak Majid
Mdau Rukia sambamba na Mtoto Lulu
Mapema ulitangulia mchezo wa Netball kati ya Mwanza na Bukoba na Timu ya mwanza kuibuka kidedea kwa magoli 11-10.
Baada ya mechi yaobwaliendelea kufuatilia Soka la maveteran.
Wingi wa watu uwanjani kutoka na hamasa ya Bukoba Veteran na hii ni changamoto kwa vyama vya mpira wa miguu mjini hapa.
Anaonekana Mdau mtata, msela wa Kishanda pichani kushoto Ndg Kusango.
Zamani haikuwa lahisi Wadau wa Kashai kukalia Jukwaa hili la Golani!!
Baada ya Mh. Mgeni Rasmi kuondoka,hapa anaonekana Kaka Mkuu na Chupa ya maji akipotezea
Mwisho wakipongezana kwa furaha.

MDAU KUMBUKA KUGONGA NENO OLDER POST KUPATA MATUKIO YA MUDA MCHACHE ULIOPITA!!!!