Bukobawadau

TUNATOA POLE KWA NDUGU JAMAA NA WADAU WOTE WA STENDI KUU KWA KIFO CHA (MPIGA DEBE) NAWABU KIBINDA.

Msiba ukiendelea katika Msikiti wa Jamii , ni SIMANZI na MAJONZI kwa Ndg wa Marehemu Nawabu maarufu kama Kibinda kijana mdogo aliyepatwa na mauti hii leo.
Swala ya Jeneza, ni swala ya mwisho ya kumswalia Marehemu ikiendelea.
Mwanzo wa safari ya mwisho ya Marehemu kuelekea kwenye Makaburi ya Manispaa eneo la Kishenge.
Vijana wengi wajitokeza katika mazishi haya.
Hatua ya Mazishi ikiendelea kwa tamaduni  za dini ya Kiislam
Wadau waliojumuika katika mazishi ya Marehemu K ibinda.
Anaonekana Sheikh Kakwekwe akitoa mawaidha yaliyohusu mimi na Wewe TULIOBAKI.!!!!

BUKOBAWADAU TUNASEMA INNA LILAH WA INNA LILAH RAJ UNN!!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau