Bukobawadau

AJALI MBAYA GEITA 11 WAFARIKI PAPO HAPO NA WENGINE 12 HOI HOSPITALINI

NA DAVID AZARIA GEITA YETU BLOG
WATU 11 wamefariki Dunia Papo hapo hapo na wengine 12 wakijeruhiwa vibaya baada ya magari matatu mawili kati yao yakiwa ni ya abiria waliyokuwa wakisafiria kupata ajali na kupinduka wilayani Geita Mkoani Geita.
Next Post Previous Post
Bukobawadau