Bukobawadau

BILELE MABINGWA WA MASHINDANO YA POOL TABLE 2012 YANAYODHAMINIWA NA SAFARI LAGER

Bango la mashabiki wa Bilele ambayo  ni Kata  mama katika Manispaa ya Bukoba maarufu kama wa "hapa hapa" mjini kati wanamaanisha hii ni baada ya kutangazwa kama washindi wa shindano la Safari Lager Pool Tabl 2012.
Mwenyekiti wa Chama cha Pool Table Kagera akikabidhi zawadi kwa kaptan wa timu ya Bilele.
Kapten Kapama akihakiki mkwanja kabla.
Next Post Previous Post
Bukobawadau