CAMERA YETU NDANI YA MAONYESHO YA SABASABA MJINI HAPA
Taswira ya viwanja vya sabasaba ndani ya Jengo la CCM mjini hapa.
Wadau wakiendeleza biashara zao, Pichani ni muuza urembo na nguo za aina mbalimbali Ndg Alex kama alivyokutwa na Camera yetu hivi punde.
Shughuli za kampuni ya Movit kutoka nchini Uganda.
88.5 Kasibante Fm Radio wakiwa wamejikita Live katika maonyesho haya
Mojamoja namsifia Abdulrazak Majid mtangazaji 88.5 Kasibante Fm Radio amekua akifuatilia Bukobawadau Blog kila mara na kutua mawazo yake,hivi tu ghafla camera yetu imeshuhudia akiperuzi mtandao wa bukobawadau.!!
Ndani ya banda maarufu kwa Choice la Dona Style.
Ni matukio ya papo kwa papo, baada ya muda tutakupa kile kinachoendelea kwa undani zaidi, Pichani ni Mdau Sajid akisikilizia pembeni mwa goli lake.
Kila mfanyabiashara na target zake,nakutana na hii kitu maarufu kama Kabasanda ikiwa imepakiwa kama vile inakibali!!!!!
Tupo Uwanjani mpaka sasa ...tunaendelea..kwa habari matukio zaidi!!!