FAMILY DAY YA WADAU WA TBL KAGERA YAFANA
Sherehe ya family day ya wadau wa TBL Kagera iliyofanyika jana jumamoso kwenye fukwe za Hotel ya Bukoba Coop Hotel, pichani anaonekana mshereheshaji wa shughuli nzima mdau Kahabuka
Manzali ya kiwanja hiki.
Utambulisha ulianza na Ndg Richmond Raymond ambae ni meneja wa kiwanda cha Tbl Mwanza(plant manager)
Emanuel Cristopher (HR Business Parter) meneja rasimu watu wa Tbl Mwanza akijitambulisha.
Bi Ester Masala kutoka Tbl Mwanza.
Silvester katika utambulisho.
Tukio lililofuata ni kufungua 'Champagne'
Mdau Bundala Tbl bukoba mara tu baada ya kufungua 'Champagne'
Kila mdau alimiminiwa katika glasi yake.
Kwa pozi anaminiwa Ndg Emmanuel Cristopher
Anaonekana mwenye furaha Mama Kayangi
Ni zamu ya mwanadada Silvia Lubozi
Wadau kwa pamoja wanagonga Cheers!!
Muda wa kupata msosi.
Muungwana George Bundala akipata kinachostahili
Kutoka Tbl Mwanza mdau Bi Mtwara Alpha akipata chakula.
Wadau wakiendelea kujihudumia.
Mdau Ndg George Lwakurwa akipata msosi pembeni ni mdau Bi Halima na Mdau Bi Ester Masala |
Shughuli ya kupata msosi ilikua pevu kwa mdau Mbanda Edward.
BAADA YA CHAKULA IKAFUATIA BURUDANI
Burudani ilifunguliwa na Bi Halima na Ndg Robart Gablier(katapila)Ni bonge la shoo iliyowafurahisha wadau waliohudhulia
Bi Neema na Mdau Henry Patrick (mzee wa mbio)
Wadau watano wakishindana kwenye mchezo wa kukimbia.
Mtu Chali.
Silvester Nkyambi akiwa mbele kabla ya kupoteza nafasi kwa mshindi Henry Patrick( kulia).
Upande wa kuvuta kamba waliochini waliwashinda waliosimama.
Analetwa kuku tayari kwa shindano la kumkimbiza kwa wanaweka na uki
Mshindi wa kukimbiza kuku akiwa na zawadi yake mkononi
Kama kipa anavyo rukia mpira ndivyo alivyokamatwa kuku na mshindi kwa wanaume Mdau Mzee Robart.
Shindano la kukalia kiti anaonekana Ester Masala akiwa nje ya mpambano.
Mpaka mwisho mshindi ni mmoja nae ni Silvia.
Upande wa wanaume mchezo ukiendelea.
Mambo ya kwa Mzee Madiba ,mambo ya kwaito.
KUPATA MATUKIO ZAIDI GONGA NENO OLDER POST KULIA KWAKO KWA CHINI