HABARI MATUKIO ZIARA YA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA CHINI YA KIROYERA TOURS
Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi Diane Corner akiwa kwenye fukwe ya kiroyera tours na mwanae wakibalizi upepe mwanana kabisa wa ziwa victoria.
Balozi wa Uingereza_akifurahi_na mwanAE kwenye maporomoko ya kyamunee hii ni kazi ya kiroyera tours katika kuonyesha vivutio vya mji wetu
Anaonekana Mume wa Balozi wa Uingereza akikatiza katika moja ya pango la Kyamunene_na_alipata cheti toka kiroyera tours.
Mdau Aseri_katanga_Mwenyekiti_Tideso akiwa_na Balozi wa uingereza nchini Tanzania Bi Diane Coner_ huko Tideso_Ishozi_pamoja na mkuu wa mkoa wa kagera Mh. Fabian Massawe(Mlokozi)
Mdau_William Rutta_mmoja kati ya wanafunzi waliopitia shule ya Tweyambe_akiwa katika chumba cha kompyuta shuleni hapo.
Mdau_Willy_kiroyera akiwaonyesha_zao la kahawa .
MtotoElenanor mtoto wa Balozi wa Uingereza_akijifunza_kukoboa_kahawa kwa kutumia zana ya zamani iliopo makumbusho ya Kagera_yanayoratibiwa na kiroyera tours.
Hapa wanatazama mandhali ya mji wetu wakiwa maeneo ya Mlima Kashura.
ANGALIZO;Mdau tunakukumbusha kupitia (Older Post)ili kupata matukio ya muda mchache uliopita.
SHUKRANI KWAO KIYOYERA TOURS KWA KUTUSHIRIKISHA KATIKA HABARI HII,BUKOBAWADAU BLOGSPOT TUNACHUKUA FULSA HII KUWAKUMBUSHA KUWA JUMAMOSI YA LEO LINAFANYIKA SHINDANO LA KUMSAKA MISS UTALII KAGERA HII SI YAKUKOSA!!!