HABARI NA MATUKIO YA WADAU KITAANI
Camera yetu inakutana na wadau pichani wakipeana mikakati ya kimaendeleo.
Ile naongea nao mawii matatu Mdau Bonge Kyatwa ananionyesha tukio lake la hivi karibuni,bila kuofia natoa Camera yangu na kuchukua picha hii ili tumpe pongezi kwa pamoja.
Ile tu naondoka eneo hili nakutana na kitu ingine.
Kitu chenyewe ni Mali ya Mdau Mlezi Peter Mgisha na na de crear interest katika hili mapema make ni mmiliki wangu naomba tumpe pongezi pia.
Kama vile ni siku ya kukutana na magari mapya kwangu.
Naanza kuhoji juu ya Gari hili , nagundua ni mali ya Mdau mwanadada mpambanaji Rukia Mawenya Kassim inanilazimu kukuomba pia tumpongeze kwa pamoja mdau.
KCC ni shabiki na mpenzi wa libeneke hili Ndg Shukuru Kabyemela (Maruku moja.). pongezi kwako kaka!!!.