Bukobawadau

HARUSI YA LEVOCATUS RWEKAZA NA BI LIDIYA YAFANA NYUMBANI KWAO BUYEKERA


Mama mchungaji akifungua sherehe kwa sala maalumu
Mr and Mrs Revocatusi Rwekaza katika pozi maridadi
Maharusi wakiwa na wapambe wao, mbele yao ni keki ya kimataifa ama kwa hakika harusi hii imetokelezea kipekee kabisa
Bi harusi kwa heshima kubwa akikabidhi keki kwa Baba mkwe
Hapa anaonekana Bi harusi akikabidhi keki kwa walezi wa bwana harusi ni Mr.&Mrs.Yusto P.Muchuruza

Mda wa Champagne ulikua hivi, na zoezi hili aliliendesha ndugu Julius kwa umakini mkubwa
Bi Lidiya na Bw,Revocatus in ACTION
Maharusi wakipongezwa na wahudhuriaji wa sherehe hii,kulia kabisa anaoneka Mrs.Muchuruza akiwakilisha ipasavyo.
Wahudhuriaji wa sherehe hii wakinyoosha chupa zao juu kuhashiria pongezi kwa maharusi hawa
Kwa jina anaitwa Leonidas Alistides kwa jina maarufu SANCHO,alikutwa na camera yetu  akiwa ameshikilia chupa mbili kwa mpigo.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Buyekera
Mrs Muchuruza akitoa wasaha kwa maharusi hawa, kulia kwake ni mumewe Mr.Yusto P.Muchuruza

Ama kwa hakika Mr.&Mrs.Muchuruza wana kila sababu ya kupongezana kwa kufanikisha sherehe hii kufana,kama wanavyoonekana katika picha wakipongezana.
Sehemu ya watu waliojitokeza kuhudhuria sherehe hii
Wanakamati wa sherehe hii!!
Wanakamati walifungua mziki kwa kucheza TWIST 
Watu wakiserebuka TWIST
Wacha weee!!!una bend kidogo alafu unaanza kuzungurusha mgongo na kiuno bila kusahau miguu hapo utakua umeipatia Twist
Bukobawadau Blogspot kwa habari na matukio ndani ya Bukoba na hapa ni maeneo ya buyekera
Makamu mwenyekiti wa kamati ya sherehe hii akitoa neno 
BUKOBAWADAU BLOGSPOT TUNATOA PONGEZI KWA MAHARUSI HAWA NA TUNAWATAKIA MAISHA BORA MAREFU NA YENYE BARAKA TELE

KAMA UNA TUKIO LOLOTE USISITE KUWASILIANA NASI
MOB:0715 505 043
          0713 397 241      
Email:bukobawadau@gmail.com

Next Post Previous Post
Bukobawadau