HII LEO PANDE ZA MCHANGANI TUNAMUANGAZIA MSANII MAUA NA WADAU MBALIMBALI
Camera yetu ikiangaza pande za fukweni inakutana na Kundi la muimbaji maarufu wa nyimbo za asili Maua, Chenkula maarufu kama "owakatambala"wakiwa katika mataarisho ya video mpya.
Mnenguaji wa kiume akionyesha "MIECHOCHO" na umahiri wake
Hii ndio Sound inayotupa audio clip
Wasanii wakibadilisha mavazi ili waonekane maridadi
Kwa jina la usanii anajulikana kama Sado
Wadau wakifuatilia kinacho endelea.
Wananzengo wakisikilizia
Najitolea kufanya kazi ata kama sio kazi inayonihusu
Utengenezaji wa video ukiendelea.
Mnenguaji katika pozi
Wadau wakiwa ufukweni.
Wawili hawa Bi Kabibi na Mdau Soma wakimiminika fukweni
Wadau wakicheck na flash yetu pande za fukweni
Mashabiki wa Bukobawadau blog katika picha
Usafiri anaotumia mkurugenzi wa Vision Fm Radio anapokua katika mizunguko yake.
Wenzangu walivyo jiachia hii leo
Maelezo mengi yamenitoka ili nipate picha ya mtoto huyu aliye onekana anasumbuliwa na ugonjwa wa ajabu wa ngozi na nimepewa angalizo NISIONGEE kitu kuhusu mtoto huyu
Nikiendelea kuangaza fukweni hapa nakutana na vijana watata wakiendeleza maisha
Kinadada wakiendelea na mchezo wa karata .
Mdau Yusuph Wastara akijiongeza na watasha.
Mimi binafsi nikiwepo.!!!!
Waleeeeeeeeeee wakichukua kasi....!!!!

TUPIA COMMENT MDAU KUONYESHA USHIRIKIANO KATIKA KUSUPORT LIBENEKE LA WANABUKOBAWADAU.