Bukobawadau

KUTOKA ZANZIBAR ;Maiti zilizookolewa na kukosa Ndg na Jamaa wa kuzitambua zaanzwa kuzikwa

Maiti zilizo okolewa katika ajali ya Meli ya Mv Skiget iliozama Zanzibar juzi na kukosa ndg wa kuzitambua zikiendelea kuzikwa.
Baadhi ya Maiti zilizookolewa kutoka katika Meli iliozama na kukosa watu wake zikipelekwa kuzikwa na Serikali katika Eneo la Kama lililotayarishwa makusudi kwa ajili hio.
KUPATA MATUKIO YALIOPITA GONGA NENO OLDER POST.
Next Post Previous Post
Bukobawadau