LIVE KUTOKA UKUMBI WA COFFEE TREE INN-"IMUKA SINGERS" WAKIPASHA KABLA YA TAMASHA KUANZA
Baadhi ya waimbaji wa kundi la "Imuka Singers) wakiwa katika hatua ya kupasha koo kabla ya tamasha maalumu kwa ajili ya Wazee wa Kagera hii leo.
Sauti zinavyo pangiliwa hapo we acha tu!!!!
Tamasha hili litahudhuliwa na wageni mbalimbali Mgeni Rasmi ni Mh. Mkuu wa Mkoa Fabian Massawe.
Mdau akifurahia Midundo mitamu ya "Imuka Singers"
Mdau John Mgango mwimbaji maarufu mwenye kipaji cha aina yake (kushoto) akijadili jambo na kiongozi wa "Imuka Singers" Ndg Smart Baitani.
Tamasha hili kubwa na la aina yake linalengo la kutangaza shughuli za maendeleo na maisha ya jamii yetu nje na ndani ya Nchi.
BUKOBAWADAU BLOG TUNAENDELEA KUWEPO UKUMBINI HAPA KWA HABARI NA MATUKIO ZAIDI, MDAU WAWEZA KUWASILIANA NASI KWA LOLOTE KUPITIA 0715 505043,0768 397241, KWA WATUMIAJI WA BBM PIN NI 2794A145 KIKUBWA HAPA NI KAZI TU!!!!!