Bukobawadau

MANENO YA MSG YA MH. ZITTO KWENDA KWA KATIBU MKUU WA NISHATI NA WAZIRI MHUSIKA

Katika Gazeti la leo la Majira kuna ujmbe unaodaiwa kuandikwa na Mh.ZZK kwenda kwaKatibu Mkuu wa Nishati na Waziri Mhusika wa Wizara Bw. Maswi na Prof.Muhongo. Naomba kuunukuu " Bw. Maswi alitumiwa na Bw. Zitto, unasomeka hivi; “Maswi, sijawahi gombana na wewe kwa kuwa nakuheshimu sana, tuhuma ambazo wewe na Waziri wako mnatoa dhidi yangu ni uwongo, uzushi na za kupikwa. Mwambie Waziri wako na wewe binafsi, sijawahi kushindwa vita ya kulinda credibility yangu, sipendi ujinga hata kidogo, mimi nina uhuru wa kusema ninachoamini, sina bei tupambane tu tuone nani ataumia,” ujumbe huo unasomeka hivyo"

Chanzo mtandao wa Jamii
Next Post Previous Post
Bukobawadau