Bukobawadau

MARAFIKI WAZICHAPA KAVU KAVU MTAANI

Tukio hili la ugomvi limejiri muda mchache uliopita kati ya vijana hawa marafiki mafundi wa baiskeri   nje ya soko kuu mjini hapa.
Zaidi ya dakika 10 hakuna aliyejitokeza kuamua ugomvi huo. Picha ya chini anaonekana mdau akimweleza mmojawapo kuwa "umemshika pabaya mwenzako"
Mdau mmoja akajitokeza kuamulia ugomvi.
Bukobawadau blog tunapenda kutumia fulsa hii kuwaomba ladhi kwa usumbufu utakaojitkeza kwa siku mbili  tupo katika mchakato wa kubadilisha template na mwonekano kiujumla ikiwa ni kutekeleza maoni ya wadau wengi asa katika swala zima la utoaji wa comment na mambo mengine ya hapa na pale.
 Fundi akifunga mkanda wa suruali baada ya kuumizwa
Next Post Previous Post
Bukobawadau