MAZISHI YA MTOTO WINSTON EUGIN KABENDERA YALIOFANYIKA JANA KIJIJINI KAMACHUMU
Katekista akiendelea na Ibada ya Mazishi
Picha ya Marehemu Winston Eugin Kabendera.
Ndg na Jamaa wa karibu na Mdau Eugin Wakisogea kaburini.
Ndg Mahuyemba na Mdau Ras Bitto wakishiriki kubeba Jeneza.
Mdau Jamal (Jamco )akishindwa kujizuia namna machungu yalivyo mbana.
Wadau wakikamilisha shughuli ya mazishi
Babu na Bibi wa Marehemu wakiweka shada la Maua.
BUKOBAWADAU BLOG TUNATOA POLE SANA KWA WAZAZI,NDUGU NA WANAFAMILIA , SISI SOTE SAFARI YETU NI MOJA JAPO MTOTO WINSTON AMETANGULIA MUNGU AILAZE MAHALA PEMA PEPONI ROHO YAKE!!!.