Bukobawadau

MGOMO WA WALIMU WAENDELEA MJINI HAPA


 Camera yetu mara tu baada ya kufika kwenye jengo la ofisi za Chama cha Walimu  mjini hapa ili kujua kile kinacho endelea kuhusiana  na mgomo uliotangazwa nchi nzima.
 Nakutana na Secretary wa katibu wa Chama cha walimu Bi Jovina pichani na kuanza kumuuliza kama kuna  habari yoyote kuhusiana na mgomo nae anasema  mgomo upo ingawa yeye  yeye si msemaji .
 Mwonekano wa Ofisi ya Katibu wa Chama cha walimu wilaya ikiwa kimya.
 Mtaani nakutana na mwanafunzi alijitambulisha kwa jina moja tu la Valentina mwanafunzi wa shule ya msingi Rumuli  anasema shuleni kwao mgomo wa walimu uko pale pale na hivi sasa anaeklekea nyumbani kwao baada ya kuruhusiwa na mwalimu mkuu kufuatia kutokuonekana kwa walimu shuleni hapo!!!!
 Kupitia bukobawadau blogspot utapata kujua ukweli wa jambo lolote kutokana na namna  na staili ya utafuti ilivyo kivingine zaidi.
Mlango wa ofisi ya katibu wa chama cha walimu Wilaya ya Bukoba Mjini ukiwa umefungwa.

MPAKA SASA  TAARIFA NI KWAMBA SERIKALI IMEAMUA KWENDA MAHAKAMANI KUZUIA MGOMO WA WALIMU NA KUTOLEWA AMRI YA KUTOGOMA NA KUWA MGOMO HAUNA UHALALI !!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau