Bukobawadau

MISS UTALII KAGERA 2012 APATIKANA USIKU WA JANA, MSANII BK SUNDAY, DIAMOND MUSIC BAND WAKAMUA BALAAA!!!MAUA MSANII (CHENKULA) AFUNIKA ILE ILE!SWALA LA MUDA WA SHOW SAA 6 MWISHO NI SHERIAAAA!!!

Miss Utalii Kagera 2012 Miss Irene Bwire katikati na mshindi wa pili Miss Jania Abdul (kushoto)na Miss Mayor Kashumba mshindi wa tatu kulia
 Miss Utalii Tanzania 2010-2011 kabla ya kumvisha taji Miss Utalii Kagera 2012
 Miss Utalii Kagera  2012 katika picha ya pamoja na Miss Utalii Tanzania 210-2011
Dada Dinna wa Fional Fashion muandaaji wa Miss Utalii Kagera 2012 katika picha ya pamoja na washindi
Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mh. Mama Pangani akifungua Onyesho hili rasmi

Mavazi yote yamebuniwa na Dada Dana wa Fional Fashion, na kila vazi alilotumia mshiriki ni zawadi kwake pamoja na zawadi nyingine za washindi na wadhamini hii  nimeipend.
Mambo ya Miss Utalii  Kagera chini ya Fional Fashion kwa ushirikiano mkubwa na Kiroyera Tours.
Mambo ya miss Utalii  hayo.
 Sehemu ya maswali kwa wale tano bora.
 Msanii wa Ngoma za asili Maua akitumbuiza.
Madansa wa Diamond Musica Band wakiwajibika
 Mwanalibeneke katika kuangaika.
Pichani ni Mr&Mrs Joshua Kyalukamba.
 Pichani ni mdau Mama Rugusha.
 Mr &Mrs Makoko  na Bi Salome kulia.
 Picha nyingine ni nashindwa jinsi ya kuacha kuzitumia.
 Mdau waweza  kufunguka kupitia sehemu ya Comment.
 Wadau wa kamati ya MissKagera
 Vituko ukubwani!!!
Wadau wakifurahia Onyesho
 Hii ni  hali isiyovumilika wanaoneka  wanamama na vichanga.
Mdau Gaude G Trezo  katika kivazi
 Vijana wa kazi Vision Fm Radio
Mdau Juma Hamza akifuatilia kile kinacho endelea.
 Msanii BK Sunday aka Mr Lover ukipenda muite mzee wa assecdo akishambulia jukwaa.
 Kutoka Kasibante Fm Radio wadau hawa wanatupa ushirikiano mkubwa katika kupanua wigo wa kujulikana
 Mdau Diana katika pitapita. zake.
Habari matukio kupitia Bukobawadau Blogspot.
Full kusebeneka na miondogo ya kushika moyo toka kwa Diamond Music Band.

RUKHSA KUSHARE

WAWEZA KUTUPATA KUPITIA FACEBOOK PAGE YETU KWA KULIKE TU!!!SEHEMU YA FACEBOOK UPANDE WA KULIA WA TOVUTI YETU, TUNAPATIKANA PIA KUPITIA TWITTER.
Next Post Previous Post
Bukobawadau