MKUTANO MKUU WA AKIBA NA MIKOPO IMARISHA SACCOS-ULIOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA SHULE YA SEKONDARI KADEA.
Wajumbe wa bodi ya imarisha saccos
Meneja wa shirika la bima la taifa mkoa kagera akitoa mada ya bima ya mkopo kulinda saccosMada ya bima ilikuwa ni MICRO INSURANCE POLICY ambayo inatoa kinga kwa mkopaji wa Saccos iwapo atafariki bima inalipa deni lililobaki badala ya kuuza mali za marehemu kwa ajili ya kulipa deni.
Wanachama wa imarisha saccos wakiwa makini kusikiliza mada
Afisa ushirika wa wilaya ya misenyi akitoa mada
Afisa wa bima wa shirika la bima akitoa mada juu ya bima za mali na ajali.
Mwanachama akiuliza swali juu ya mada ya bima
Wanachama wa imarisha saccos kanyigo na kashenye.
Meneja wa benki NMB Misenyi akitoa mada,mada ya benki ilikuwa ni jinsi ya kuinua uwezo zaidi wa Saccos na kupokeaombi la kuwekewa ATM.
Mkutano huu ulifanyika tarehe 29/06/2012 chini ya Mwenyekiti wa Bodi BwanaWilfred Muhumula.
Saccos imetoa mikopo yenye thamani ya Tshs 189,885,200.00,Saccos inajumuisha kata za Kanyigo na Kashenye.
BUKOBAWADAU BLOGSPOT IS THE BEST…….!!!!