MSANIIJANE MISO, WAREMBO WA MISS UTALII, MC HARRIS KAPINGA KUTOKA CLOUDS FM WAUPAMBA USIKU WA TAMASHA LA "IMUKA SINGERS"
Msanii wa muziki wa injili Jane Muso akiimba wimbo wake wa"Eh Moyo"kwa kushirikiana na waimbaji wa "Imuka Singers" na kupabwa na warembo watakaoshiriki shindano la Miss Utalii Kagera 2012 .
Burudani ya ngoma za asili kutoka kwa "Imuka Singers" imewavutia wadau wengi waliohudhulia.
Ni "Imuka Singers" wakionyesha Umahiri wa kusaka ngoma ya asili
Mc Harrison Kapinga akapata fulsa ya kumkaribisha mwenyeshe na muandaaji wa tamasha hili.
Ndg Smart Baitani Kiongozi wa "Imuka Singers" akitoa utangulizi na utambulisho kwa wageni waalikwa.
Sehemu ya waalikwa ni pamoja na mama Martha Kibira pichani kushoto
Waimbaji na wachombezaji wakiwa kimzuka zaidi
Bishop Dr Kilaini akitoa neno kuhusu anavyo waelewa "Imuka Singers"
Katikati ni muakilishi wa Mkuu wa Mkoa,Mh. Mama Pangani ambae ni Mkuu wa Wilaya ya Bukoba kushirikiana na Ras wakitoa ushirikiano mkubwa kwa kiongozi wa "Imuka Singers) Ndg Smart Baitani (kulia)
Mlezi wa kundi Mzee Kashasha.
INAENDELEA