Bukobawadau

MTOTO ANGEL APOKEA KIPAIMARA NA KUFUATIA HAFLA FUPI NYUMBANI KWAO BUYEKELA

Picha ya pamoja kati Baba Askofu Kilaini na watoto waliopata kutukuka kwa ukamilifu.
 Nje ya Jengo la Kanisa  pichani ni Bibi wa mtoto Angel,mdogo Angel  David, Rose na wa mwisho ni Mama wa Ubatizo.
 Mtoto Angel akiingia ndani baada ya kutoka Kanisani.
 Tayari ndani ya nyumba.
 Mdau Justine  Uncle wa  mtoto Angel akiwakaribisha wadau waalikwa.
 Mwonekano wa kitu menu .
 Uncle Colline akisababisha kile anachokiweza!!!
Huduma ya msosi ikitolewa na wadau Bi Joy na Da' Harriet.
 Mdau  Jesca  sehemu ya waalikwa akipata huduma ya msosi.
 Wageni waalikwa wakiliendeleza...!!
 Ndgu zangu hawa  pia walihusika!
 Baada ya mnuso na madikodiko mengine wadau wakibadilishana mawazo  na kufahamiana.
Mezani Mtoto Angel katika pozi akisubiri kwa hamu  kukata keki.
 Katika zoezi zima la kukata keki.
Mtoto Rose akimlisha keki  dada yake Angel
Zawadi na pongezi za hapa na pale kutokac kwa waalikwa.
        
MWISHO WADAU TUNAOMBA KUSHIRIKISHWA  KATIKA MATUKIO YOYOTE











Next Post Previous Post
Bukobawadau