Bukobawadau

SCHOOL BASH OF TALENTS KAGERA 2012 SEASON 1

Ma MC's wa tamasha hili la kusaka vipaji linaloandaliwa na The Slope Promo Intertainment linalofanyika kila siku za jumapili katika ukumbi wa New Coffee Tree Inn Hotel.
 Dj Sley mmoja kati ya majaji akitoa angalizo .
Ni mshiriki kutoka Shule ya Sekondari Katoma akiwajibika.
Msanii Chico kutoka mtaa kwa mtaa akifanya u lilwayne kwa kuvunja hiphop.
 Uwezo mkubwa kutoka kwa msanii maarufu kwa jina la Mtoto wa masikini.
Wadau wa kila aina wameonyesha kuguswa na kinacho endelea.
 Kundi la wasafi likionyesha umahili wa kucheza staili mbalimbali.
Mshiriki akionyesha kipaji chake.
 Katikati ni Mgeni rasmi Mh. Chief  Diwani wa kata ya Kahororo akitoa nasaha zake na kutaja majina y washiriki watakao endelea na mchakato huu wa kusaka vipaji kwa juma lijalo.
Washiriki watakao endelea kuchuana Jumapili ijayo.

  BUKOBAWADAU BLOGSPOT IS THE BEST…….!!!!
Next Post Previous Post
Bukobawadau