SIKU MOJA KABLA YA ONYESHO KAMATI NZIMA YA MISS UTALII KAGERA 2012 YAKARIBISHWA CHAKULA CHA ASILI
Mwenye taji ni Miss Utalii Tanzania 210-2011 Miss Eva Mery Gamba ambae yupo mjini hapa kama mkufunzi wa Warembo wanaoshiriki shindano la Miss Utalii Kagera 2011 siku ya Jumamosi tarehe 14/7/2012,wa pili ni mdau Thomas Charles sambamba na wanahabari.
Baadhi ya warembo wakipata chakula na Wageni waalikwa yupo pia ndg Smart Baitani Mkurugenzi wa (COSAD),yupo mwimbaji Jane Miso, na Ndg Harris kapinga wa Clouds Fm.
Matukio kama haya yananipa faraja kiasi nazidi kuipenda kazi hii jambo changamoto ni nyingi!!!
Mezani matunda ya kihistoria yamehusika,big up kwa muandaaji wa chakula hiki Fiosmini Hotel iliopo barabara ya kashura mjini hapa.
Mkurugenzi wa Fiosmini Hotel akiongea na wanahabari.
Baada ya msosi Camera yetu inaendelea na flash warembo wakiwa katika pozi na mikato mbalimbali.
Warembo wakitabasamu mbele ya Camera yetu.
Ni warembo watakaoshiriki shindano la Miss Utalii Kagera linaloandaliwa na Dada Dinna kwa kushirikiana na Kiroyera tours na kusindikizwa na Diamond Music Band siku ya Jumamosi 14/7/2012 mpango huu ni ndani ya Club Linas.
Mkufunzi ni Miss Utalii Tanzania 2010-2011 Miss Eva Mery Gamba.
Mshiriki katika picha na mkufunzi.