SONGOMBINGO LA KUTOKUHESHIMU ALAMA ZA PUNDAMILIA(ZEBRA )BARABARANI
Kwa kawaida dereva yeyote anayezijua sheria za barabarabi inatakiwa anapoona alama ya zebra inatakiwa apunguze mwendo.
Camera yetu ikiwa imechelewa kidogo kufika kwenye tukio mapema asubuhi imetokea ajali mbaya ambapo mtoto akiwa anavuka zebra kwa miguu mara (asecdo) mwendesha pikipiki anampigia honi, daaah kilichotokea hapo ni kumvaa na hali ya mtoto mpaka sasa inasemekana si nzuri.
Pikipiki iliyosababisha ajali pichani, na dereva wake kaumia pia.
Mashuhuda wa tukio hili wakiendelea kushangaa foleni ya magari ,kama ujuavyo si kawaida kwa mji wetu kuwa foleni .!!!!