TAMASHA LA KIHISTORIA LA "IMUKA SINGERS" KUFANYIKA 11/7/2012 KATIKA UKUMBI WA COFFEE TREE INN HOTEL-NA MH.FABIAN MASSAWE KUA MGENI RASMI
Baadhi ya waimbaji wa kikundi cha: "Imuka Singers" chenye mchanganyiko wa vikundi mbalimbali vya kwaya na vikundi vya sanaa vilivyopo mkoani Kagera.
Ni kikundi kimoja kilichotokana na makundi 27,chenye wasanii wakali, mahili wenye uwezo mkubwa katika tasnia hii ya sanaa na utunzi wenye lengo la kutumia Sanaa hii na Muziki kama kioo cha jamii ya Mtanzania na kutatua matatizo ya kiuchumi katika jamii inayowazunguka.