Bukobawadau

TUNATOA POLE KWA MDAU EUGEN KABENDERA NA FAMILIA YAKE KUONDOKEWA NA MWANAE WINSTON EUGEN KABENDERA

 Kushoto ni ulipolazwa mwili wa Mtoto Winston Eugen Kabendera (umri miezi 10)na kwa mbele ni picha yake kama ilivyokutwa na camera yetu muda mchache Nyumbani kwa Ndg Eugen .
 HII NI PICHA YA MAREHEMU WINSTON EUGEN.
Sehemu ya wadau waliofika msibani  Nyumbani kwa Ndg Eugen NHC .
 Ni hali ya simanzi kwa kila mdau aliyefika msibani hapa, anaonekana Balozi wa mitaa hii  Mzee Balekao (mwenye kibalaghashia)
Tarifa tulizonazo ni kwamba mazishi yatafanyiki Kesho Jumanne kijijini Kamachumu
Ndipo ikafuata msafara mkubwa wa magari yakitokea Uwanja wa Ndege kumpokea Baba wa Mtoto Mfiwa Ndg Eugen Kabendera aliyekua na ziara ya kikazi Dar es salaam.
Ni Uzuni kubwa kwa Mzazi Eugin, ni Vilio na Mayowe kwa aina ya pekee!!
Ndugu akijaribu kumfariji...ile hali ni uzuni kwa wote.
 Waombolezaji wakiingia  pichani ni Bi Salima na Bi Jamila...
 Sehemu yenyekusikitisha sana..ni hii hapa, baada ya wafiwa Mtu na Mkewe kukutana,inasikitisha sana jamani!!!
Baada ya kutoa Suport hadi ndani wadau wakitaharuki
Wadau wanapamoja waliofika kuwafariji wafiwa
 Ilivyikua mapokezi  ya Mdau Eugen uwanja wa Ndege
Mdau Eugen Kabendera akishuka.
 Kutoka Jijini Mwanza akiongoza na Mdau Kyatwa maarufu kama (Bonge)
Wanapamoja kama kawaida wakimfariji  mwenzao.


BUKOBAWADAU BLOG TUNATOA POLE KWA WAFIWA NA TUMEGUSWA SANA NA KIFO CHA MTOTO WINSTON EUGEN KABENDERA-MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPONI AMEN!!!

Next Post Previous Post
Bukobawadau