WANAMEREMETAAA...WANAMEREMETA..!!!! NI HARUSI YA MDAU HAMIM SONGORO NA BI KHADJA AMIS ILIOFANYIKA HII LEO NYUMBANI KWAO KAMILABALA NA ITONGO KAMACHUMU
Maharusi Bi Khadja Hamis na Mdau Hamim Songoro wa kamachumu wakiwa katika furaha baada yashughuli iliyofanyika Nyumbani Kamilabala na badae kuendelea kijijini Itongo Kamachumu.
Nyumbani kwa Mzee Rajab Songoro mzazi wa Bwana harusi muda mchache kabla ya kuelekea Ukumbini kuendelea na Maulid kwa Mzee Juma Lutende (Itongo)ndani ya Kamachumu.
Mdau Organizer ni mtu wa watu sana
Wanaonekana wa Bwana Harusi
Maharusi wetu hivi ndivyo walivyochomoka kwa siku ya leo...!!!!tuwape pongezi vijana hawa..!!! Ukizingatia kuoa kuna mengi ndani yake na Mme ni tofauti na mwanaume "alikadhalika" kunatofauti kati ya Mke na mwanamke najua wapo wachache wanaonisoma ni nini namaanisha.!!
Ninachoweza kusema kama blogger ni kwamba raha ya maisha ni siku ya harusi!!!!
Taswira ya mwanzo wa msafara wa maharusi wetu kutokea Sokoni Kamilabala kuelekea, Milama, hadi Itongo.
Hivi ndivyo Mji wa Kamachumu ulivyo zizima kwa ndelemo,shangwe na vigelegele
Kwa ushirikiano wa familia ya Haji Juma Lutende na familia ya Haji Rajabu Songoro waandaji wa harusi ya Mdogo wao Hamim na Bukobawadau tukitoa update papo kwa papo sasa tunajikita ITONGO ....!!!na kufikia hapa Matukio yatafuata taratibu kwani tunajaribu kutupia Video za harusi kupitia You tube..!!
Kabla ya kuingia bandani kitendo cha taratibu za kimila kimeanza kwa Bibi Harusi kukaa kwenye mkeka.
Katika hili wapambe ni mashuhuda.
Utaratibu wa kuingia kibandani unaendelea...
Hivi ndivyo alivyotokelezea Bw. Harusi Mdau Hamim Songoro na mpambe wake Mdau Underson
Baadaya maharusi ukuingia kibandani , ratiba ikaanza kwa dua ya ufunguzi
Sheikh wa Wilaya ya Bukoba Mjini Sheikh Haruna Kichwabuta, na pembeni ni katibu wake Sheikh Ismairy.
Ustaadh akisoma mlango wa kwanza wa Quran.
Ustaadhi Abas akionyesha umahiri wa mlango wa pili.
Madarasat Kanazi ikiwatendea haki wadau waliohudhulia, na utaweza kupata Video yake badae kupitia bukobawadau you tube.
Ni maulid ya harusi iliyohudhuliwa na watu wengi sana kutoka pande mbalimbali na Nchi jirani Uganda na Burundi.
Razha ya kashida iliyomithilika kutoka kwa Nazifa!!
Ustaath Dokt. Abas Byabusha akiwatunza waimbaji wa Qaswida.
Anaonekana Mdau Ziada Songoro na wanamama wengine.
Wanafamilia wakifuatilia kinacho kwa nyuma anaonekana Uncle Magimbi na Uncle Buruani kwa mbele anaonekana Mdau Katete na Mdau Nuha wakiteta hili na lile.
Ikafika muda wa Bi Haruusi kutinga ukumbini ili kupata mawaidha kwa ukaribu kutoka kwa Sheikh Haruna
Ndipo nikashangazwa na utundu wa Hamim.....!!!!faraha, tabasamu,jicho na pozy kuvionyesha kwa wakati mmoja hakika ni utundu usio wa kufundiswa.!!!!!
Bi Harusi Manshallah!!!!HAPA nachukua fulsa hii kutoa pongezi zangu kwako Mdau Hamim na kuwapa pole wale akina fulani... kazi kwao sasa na hapa wasema ni Mchina!!!!! LOL "watajibeba"
INAENDELEA..