AJALI YA BUS LA MUHAMED TRANS BAADA YA KUGONGA LORI LA MCHANGA ENEO YA KYETEMA HII LEO
Bus la Muhamed lililokua likisafiri kutoka Bukoba Mjini kwenda Mwanza lapata ajali abiria wanusurika kifo
Ajali hiiyo mbaya imetokea asubuhi ya leo majira ya saa 1 kasorobo eneo la kyetema umbali wa km 15 kutoka bukoba mjini
Lori la mchanga baada ya kugongwa na bus la Muhamed.
Hali ya Lori baada ya kubamizwa ubavuni, likitaka kukata kulia kuelekea kwenye machimbo ya mchanga ,huku nyuma likija bus likiwa spidi
Ajali ni baada ya lori hili kupunguza spidi kutaka kuingia kwenye machimbo ya mchanga ,inasemekana dereva alishangazwa kuona jamaa wa bus akiendelea kuja nyuma pasipo kujali ishara ya taa ndipo akasita na kitendo bila kuchelewa dereva wa BUS akamvaa ubavuni na kwenda kuangukia mbele
Lori likiwa bado barabarani , minofu kwishinehiii
Askari polisi na mmoja wa wanausalama barabarani
Muonekano wa ndani ya Bus
Mmoja kati ya majeruhi walionusurika katika ajali Mdau Edwin Kamaleki (kulia )akiwa na mama yake na kaka yake muda mchache baada ya ajali
Bus liloletwa kufaulisha abiria tayari kuendelea na safari ya mwanza.
Machimbo ya mchanga ya kyetema ilipotokea ajali hii
Katikati ni RPC Kelenge akidadavua tukio kwa OCD Mwakilatu
RTO mzee Willy katika sehemu ya tukio
Nambari za Lori ni T814 AXF
Mdau mwingine aliyenusurika Ndg Aziz Ijumba
Manusura katika ajali hii.
Mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya Muhamed Trans akitoa ufafanuzi
Bus la Muhamed Trans likisubiri kufaulisha
Mashuhuda wa ajali hii
Mashuhuda wakiwa bado katika hali ya sintofahamu
Nambari za Bus zinasomeka T 883 ASU
INAENDELEA

BUKOBAWADAU BLOG TUNATOA POLE KWA MANUSURA WA AJALI HII!!!
INAENDELEA