Camera ndani ya Run Way Club...
Majembe wakiendeleza drop zao kwa furaha na amani kulia anaonekana mzungu aliyemzaba vibao msanii Diamond baada ya kumfanyia fujo kaunta.
Ni flavor za mbele tu ndani ya Club..wanaonekana wadau wakibampha.
Washika mashine wakicheck na Camera yetu hakiwa hawa jamaa music wanaujua, wanauweza na wanaelewa wanachokifanya.
katika hili na lile na wadau Raul Bayona na Fuady Rugusha.
Ommy Dimpoz akicheck na Camera yetu, kushoto ni OMG Anthony Kayunga
Pioneer ndio machine ndio inayotumik
Vijana wa kibukoba wakicheck na Flash ya bukobawadau
MMOJA WA MADJ HAPO RUN WAY CLUB