HABARI MATUKIO NA WADAU PANDE ZA DAR
Pichani wadau wakiwa wamejumuika meza moja kimkakati zaidi
Kutoka kutok Ailin Baruti, Mwemezi Michael Muhazi, Aidan Kajoka na Michelle Kaufman
Wanandugu katika picha ya pamoja na mdau Halanus Kashalaba, ni Antony kayunga kushoto na Ailin Baruti kulia.
Mdau Michael Muhazi katika vazi la suti isio nzito kama nyeusi hivi,plain kitambaa mtelezo na Sitapenda kuongelea Label na bei!!!!