HAPA NA PALE NA CAMERA YETU PANDE ZA KITENDAGURO
Camera yetu ivi punde imeangaza maeneo haya ya Kitendaguro
Kagemu Chuoni mambo yanaonekana kwenda vizuri japo sisi si wasemaje wa wizara
Moja kwa moja mpaka msibani kwa 'Ma Nastazia'dada toka nitoke na Mzee Samweli Luangisa(kushoto)
Ikiwa ni siku moja kabla ya matanga, maombi ya jioni yanaendelea kila siku msibani hapa.
Ndugu wa familia wakiendelea kufarijiana
Mtoto mkubwa wa Marehemu Anastazia
Hii ni ishara ya mambo ya hasili msibani habari juu ya hili inafuata
ITAENDELEA