HAPPY BIRTHDAY MUMY YETU MPENDWA MAMA SAUDA
Wanao chini ya BUKOBAWADAU BLOG tunakupa pongezi mama yetu mpendwa katika siku yako kuzaliwa Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu mazuri na yenye baraka tele
Katika kusherekea siku hii hauko peke yako tuko pamoja kama ifuatavyo
Khadija katika pozi na mama yetu mpendwa anakwambia happy birthday mumy.
Swahiba wako Nizar nae anakwambia HAPPY BIRTHDAY
Mwanaidi katika pozi nae anajumuika nasi kama mwana familia kukuambia Happy birthday Mumy yetu
Niram nae anakuwish Happy birthday
Dady... Sadick Galiatano nae hakuwa nyuma kum wish Mumy Happy birthday kama wanavyoonekana wenye nyuso za furaha
Our lovely sister akiwa pande zile paleeeee!!nae anakuwish happy Birthday
Mc Baraka (BLOGGER)Nami siko nyuma kumuwish Mumy yetu Happy birthday nakutakia maisha mema na yenye baraka tele
Mwanao Sadath Boutique Mmilki wa maduka Ya SADATH BOUTIQUE naye anakuwish HAPPY BIRTHDAY mumy yetu
RAMADHANI KAMBUGA mmiliki wa kampuni ya RMK nae hakuwa nyuma kukuwish Happy birthday mumy yetu mpendwa.
Mwisho ni mimi mwanao Salum Galiatano(BLOGGER) na mmiliki wa lebo ya SIR.LOOM Inc. nakwambia happy birhday mumy yangu.